tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,752
- 31,091
Sawa ngoja nizibe,maana me sipatani na sukariFanya hivi ziba mdomo na pia hesabu sekunde 10 kimoyo moyo itaacha au kula kijiko kimoja cha sukari
Sawa ngoja nizibe,maana me sipatani na sukariFanya hivi ziba mdomo na pia hesabu sekunde 10 kimoyo moyo itaacha au kula kijiko kimoja cha sukari
Usiku mwemaShadow7 ulale salama Laaziz💋
Wengine mtajijua 🤒 mlale mmekabwa na wanga nadhani hainihusu🙄
Kwikwi mara nyingi hupotea kwa mshtuko wa habari mbaya ya ghaflaMbona wanitisha? Nini hiyo haifanyi kazi mpaka uwe karibu?
sameja ulisahau ujanja wa porini ulikua unawinda na makeleleSerengeti wa humu wote mmenishinda🏃
Kuna watu wana macho ewwww.Ila ya ubavu inaweza kuwa mbadala
Hiyo kwiki itaisha chapu tu Fanya hivyo hesabu 1 hadi kumi itakata inshallahSawa ngoja nizibe,maana me sipatani na sukari
Barikiwa sana Vincenzo JrUsiku mwema
Amina 😍Nawe pia cute
tano wape to yeye na winnonewanaman mi nipe miraba yangu![]()
![]()
![]()
😁😁😁😂🤣Kuna watu wana macho ewwww.
Ujanja wa porini, uraiani haufanyi kazisameja ulisahau ujanja wa porini ulikua unawinda na makelele![]()
![]()
![]()
Hi Vin😁😁😁😁😂🤣

mroomo mroomo (in kurya's voice)Ujanja wa porini, uraiani haufanyi kazi
Hello dada yangu upo fresh mwanza wanasema huko Kuna ndugu yangu mmoja Hivi mpe salamu ilaa yupo ni muuza mabakuli ya afu tatuHi Vin😁
Niko poa kabisa.Hello dada yangu upo fresh mwanza wanasema huko Kuna ndugu yangu mmoja Hivi mpe salamu ilaa yupo ni muuza mabakuli ya afu tatu
Mjini hapo 😂😂😁🤣 dada yanguNiko poa kabisa.
Ndugu yako anaishi wilaya ipi Vincenzo?
Aah sawa ntamfikishia salamu nikimuona usijali😁Mjini hapo 😂😂😁🤣 dada yangu