Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,048
- 8,818
Achangamshe walinzi wa getiniafanye nini huyo mbabu
Achangamshe walinzi wa getiniafanye nini huyo mbabu
Nilikua busy babe, nisamehe bure 😘😘You're not answering my calls babe.
leo zamu yakoAchangamshe walinzi wa getini
Kuna nini tena huku mwanawane?🤣Dah safi sana mkuu.
Sasa hapa inapaswa aje na Mzee wa kupambania
love job love jobShukran nying.
Watajifungua salama
umenishtuaNilikua busy babe, nisamehe bure 😘😘
Pitia post za juuu utajua kafanya Kosa Gani 😂😁Wakuu poleni kwa majukumu ya kutwa.
Ndugu yetu Intelligent businessman bado hajatoka kifungoni. Tuzid kumwombe afundulie pia Moderator wamwachie sasa maana naamin adhabu alopata inamtosha.
Pia tusaidizane kujua nn kimemkumbe mwenzetu.
00:01HRS
Karibu mkuu. Japo nawe usalimie na wakuu hukuKuna nini tena huku mwanawane?🤣
Mukubwa 😁😂😂😁😁😁umenishtua
nilikua nimeshanunua kamba nijinyonge
Mkuu leo nipo chumba cha hawa wajawazitoleo zamu yako
Ulijua nipo kwa mume mkubwa.umenishtua
nilikua nimeshanunua kamba nijinyonge
wewe ndo mkubwa huishiwi bando🤣Mukubwa 😁😂😂😁😁😁
Mi mwenyewe nashangaa.Ila wazee hizi trophy ndo nini?
mbona tunapewa nyingi
😂😁😁😁😂😂😂wewe ndo mkubwa huishiwi bando🤣
Kwanza namshukuru raisi mama Samia kwa nafasi hiiKaribu mkuu. Japo nawe usalimie na wakuu huku
mkuu kwani unatumia ki🐇 nikusogezew ili ile kauli ya kaz na dawa itimie?love job love job
Hela hizo mukubwa😁😂😁Ila wazee hizi trophy ndo nini?
mbona tunapewa nyingi