Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,079
Kabisa nadhani ameshajifunza wampe uhuru sasaWakuu poleni kwa majukumu ya kutwa.
Ndugu yetu Intelligent businessman bado hajatoka kifungoni. Tuzid kumwombe afundulie pia Moderator wamwachie sasa maana naamin adhabu alopata inamtosha.
Pia tusaidizane kujua nn kimemkumbe mwenzetu.
00:01HRS