Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,787
- 58,392
πππππππππ Safi safi tupo pamoja mkuu...Kabisa kaka nipo nasubiria timu yangu pendwa jumamosi ifanye kweliii
Tutakua tunawasapoti kutokea makao makuu huku
πππππππππ Safi safi tupo pamoja mkuu...Kabisa kaka nipo nasubiria timu yangu pendwa jumamosi ifanye kweliii
Au aje tuDogo anaumwa nadhani tumuhurumie eti?
Naunga mkono hojaDogo anaumwa nadhani tumuhurumie eti?
YeahNaunga mkono hoja
Health & Children11:10 PM At your age, what's the perfect gift?
Hongera sanaHealth & Children
Asante sanaHongera sana
Mi mwenzio shule sija enda, hiyo principal ndi nini ππ€Prove kama wewe ni jobless by using First principal
π€£π€£π€£π³ umekuja kwa gia kaliππΏngoja nikaoge chap
saa sita kamili niwe hapa na ki-note book changu, nianze kutick majina
Muulize mshamba achekwi sijui ππππMi mwenzio shule sija enda, hiyo principal ndi nini ππ€
Basi tawire, wali nawa kula, kuja kushituka ni maweππMuulize mshamba achekwi sijui ππππ
Supu ya mawe.....Basi tawire, wali nawa kula, kuja kushituka ni maweππ
hatukai na Vaseline, Wasije tulaumu kwa maamuzi yetuπ€πSupu ya mawe.....
Hatucheki na mtoto asije akatuomba maziwa
Muonjwa . Uonjwahatukai na Vaseline, Wasije tulaumu kwa maamuzi yetuπ€π
Kuhusu kutembea na vibegi, baba alisema niwa achie wauza ukwajuπ€πMuonjwa . Uonjwa
Kura mikanja sharapu sharapu
πππππππ
Panya wa jera..
Shave dread..... Kwanza πππKuhusu kutembea na vibegi, baba alisema niwa achieve wauza ukwajuπ€π