Usicheke na mtoto...🤣😁😂😂
Daku au futari.00:00
Karibuni tule wakuu
😁😂Dah 😂Usicheke na mtoto...
Asije akakuomba maziwa
Kumekucha mda huu...Kumekucha sasa
Sio daku wala futari.... mlo wa usiku tu😅Daku au futari.
,😂😂😂🙌🙌🙌
Mlo wa usiku now..Sio daku wala futari.... mlo wa usiku tu😅
😂Tz tu au nimechelewa sana🤔... ila kwangu ndio mida ya diko hiiMlo wa usiku now..
Au upo timeline ya Dubai 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Tatizo wanataka maokoto mkuu 😀
Inamana unaanzaga kupika sa ngapi...??😂Tz tu au nimechelewa sana🤔... ila kwangu ndio mida ya diko hii
Yu nasi kila siku na wakatiMungu ni mwema sana
Sizani kama kwako wanafata maokoto kuna la zaidi...Tatizo wanataka maokoto mkuu 😀
Kuna time nakula saa 10 usiku😂🤓Inamana unaanzaga kupika sa ngapi...??
😂😂😂😂😂😂😂 Au mlinzi ?
Weee ni mchawi...Kuna time nakula saa 10 usiku😂🤓
Hiyo sigara hutoagi hapo mdomoni mkuu😂😂😂😂haya sasa
walinzi mpo!
12:10 AM
Sa 2 nishalirusha.. ila kula ndio mida hiiInamana unaanzaga kupika sa ngapi...??
😂😂😂😂😂😂😂 Au mlinzi ?