Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
Nini shida winnone , njoo tufurahi shida ni za mda,..mpenz shadow, dad ang to yeye kidoti, rafik angu hope, babu yang G, jiran yangu mandala na shemej yangu V, nawashukur jamn kwa uwepo wenu kwang kwa hiz sik mbili tatu for sure napata amani mnooo nikiwa humu kuliko ninapo kuwa mtaani[emoji17] am going through alot kweny akil yangu ilaa mmekua faraj kwang bila ninyi kutambua
Mungu awalinde na aendelee kuwatunza kwa ajir yang na familia zenu..... leo nawaacha mapema maan kichwa chang hakip saw ila nawasihi tuzidi kupendana na kuombeana kheri
tuonane kesho panapo majaliwa: Let show love while we still alive not in death all for love[emoji3590]......
mshamba, half america na member wote muwe na usik mwema
Life#####
Na kwako pia