Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,369
- 96,655
I mean no malice to nobody
🙏🏽Pole mkuu jitahidi upate mtu sahihi anayejali hisia zako
Wee ulaliI mean no malice to nobody
Safi sana,wengine tunapata daku ya kilimanjaroDaku la maini rosti, nyama choma na kaugali kidogo asikwambie mtu.
Nyie ndo mchana nzi usiku mbu khaaaaaHuu mwezi..machimbo yote magumu
Kiporo hiko 😂😂😂😂😂Daku la maini rosti, nyama choma na kaugali kidogo asikwambie mtu.
Dawa ya nn tena, MkuuNyie ndo mchana nzi usiku mbu khaaaaa
Mnakunywa dawa au 😂😂😂😂