JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

4:19 AM Jana mida kama hii nikasema nisile Daku niskilizie hadi saa 10 na Nusu,,, nikapitiwa na usingizi kwenye Kochi kushtuka saa 2 Asubuhi kidogo nilie…

Leo sirudii huo ukhanithi nakula sasa hivi 😂
Ahahahahahaa 😂😂😂😂😂
Kuna watu wanakula yaan ile ana maliza tuu dakika mbili na adhana hii hapa 😂😂😂😂
Watu ni very matured kwenye timing
 
Back
Top Bottom