Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,900
- 82,153
11:42 PM Never let success go to your head and never let failure get to your heart
Mgonjwa una zurura ehh😄12:45
Mkuu naona upo Lindo ukijituliza na mashairi ya Ngosha...12:48 AM Mafanikio hayaji ukikata tamaa
Yenyewe huwafuata wanaojituma
Na wale wasiosukumwa na njaa
Sipigi kila dili mipaka imezingatiwa
Sitaki kuwa tajiri ninataka kufanikiwa
Kabisa Mkuu jamaa anajua sana huyuMkuu naona upo Lindo ukijituliza na mashairi ya Ngosha...
Sahihii kabisa mkuuKabisa Mkuu jamaa anajua sana huyu
Naunga mkono hoja kaka jamaa ni fundii sana huyu namuwekaga no 1 mbili nmpa AY tatu Nampa mwanafa nne Darasa Tano dizasta vinaSahihii kabisa mkuu
Nimiongoni mwa wasanii wenye ladha katika mashairi,
Ukiskia mashairi yake tu yanakupa tafakari flani ivi...
Mf. Juhudi za wasiojiweza aliifanya na bikidude enzi za uhai wake