Raine Col
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 468
- 1,462
2015? 😳Ko 2015 ndo ume maliza hapo 😁🤣, wali kufanyaje tena??
2015? 😳Ko 2015 ndo ume maliza hapo 😁🤣, wali kufanyaje tena??
Haya ume maliza Mwaka gani 🤔2015? 😳
Kaka Lina upepo mkali Sana 🤣
Nakuja ila huyo dada wa buguruni mpaka aache kununa kisa afu 3🤣 Nitawaalika Mje makao makuu niwapeleke msalato mle mbuzi mzima mtamaliza?
Mcheki mama ako ata kuambia mi nani yako2:22 AM Umeshindwa kumpiga alie kunyima afu 3 now unaongea kama Binti wa buguruni
🤔Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Sasa lishidwa nini kuuliza tangu mwanzoni 🤣 🤣 tabia gani kuuliza wakubwa swali kama hizi utawacha kuvuta bange ama hapana?Haya ume maliza Mwaka gani 🤔
Hilo Ndio Kiboko Ya Joto Katikati Ya Mji Kwa Maisha Ya Kila Siku Ya Uswahilini 😂😂😂Kaka Lina upepo mkali Sana 🤣
Ume maliza Mwaka gani Sasa 😂, beside u know I don't smoke 🤣Sasa lishidwa nini kuuliza tangu mwanzoni 🤣 🤣 tabia gani kuuliza wakubwa swali kama hizi utawacha kuvuta bange ama hapana?
Tuta umwa vifua Kaka😂🤣Hilo Ndio Kiboko Ya Joto Katikati Ya Mji Kwa Maisha Ya Kila Siku Ya Uswahilini 😂😂😂
Karibu Sana Mkuu Jamvini
Upo Mahali Sahihi Tusukume Gurudumu Pamoja MkuuUsingizi umekata ghafla
Wanasema Liwalo Na Liwe Ila Joto HapanaTuta umwa vifua Kaka😂🤣