JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

2:50 AM kaka nimebananika huku ujobless nisaidie nauli kaka ngoja nikutumie mdogo wangu chagamba
 
3:05 AM mediocre waongeza zero Tena unajishow kumbe ni ombaomba nyumba yenyewe ya kupanga mdogo wangu kuongea hauwezi meno kama ngiri chagamba
 
3:09 AM Nobody knows tomorrow
Jana ghetto mbonji la kigodoro
Kula yenyewe mgogoro
Shaghala, baghala, ndombolo, ndombolo
Nobody knows tomorrow
Nobody is perfect, watu wote wanakasoro
Nyuma danger, mbele kiza totoro
Shaghala, baghala, ndombolo, ndombolo
I don't care where you came from
I don't care what you talk about
I don't care, I don't scare, don't dare sogea
Do I look like I care?
I don't care where you came from
I don't care what you talk about
I don't care, I don't scare, don't dare sogea
Do I look like I care? 🔥🔥 Darasa
 
3:46 AM Lomalisa Mutambala anamwaga pesa hapa. Haya ngoja tuone mwisho wa msimu. 😂🥹😳🙌🏻
 
Hilo Ndio Kiboko Ya Joto Katikati Ya Mji Kwa Maisha Ya Kila Siku Ya Uswahilini 😂😂😂
Hujawahi kuona baada ya kuleta ubaridi likashusha joto na kuamua kulizimia mbali? Hali ya pangaboi au fen ya kawaida kusupply hewa yenye joto au ubaridi itategemea na kiwango cha hewa kinachoingia na kutoka ndani ya nyumba/chumba chako (Air ventilation). Kama ndani ya nyumba yako kuna mgandamizo wa hewa na nje joto ni kali it's obviously pangaboi lako litasupply hewa yenye ujoto na kinyume chake ndio hivyo hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom