Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Mpaka wajenge Wanae watakuwa wameshakufa njaaSaw a mkuu kuna kiwanda kingine kinajengwa huku huku wakimaliza nakucheki ila itabidi uzoee makelele pia maana hawa ni wachina.
Mpaka wajenge Wanae watakuwa wameshakufa njaaSaw a mkuu kuna kiwanda kingine kinajengwa huku huku wakimaliza nakucheki ila itabidi uzoee makelele pia maana hawa ni wachina.
Mpaka wajenge Wanae watakuwa wameshakufa njaa
Ok poa mkuuWanamalizia mwezi wa 5, wasita kinaanza production
Nime fanya kazi na wachina nawajua hao MkuuSaw a mkuu kuna kiwanda kingine kinajengwa huku huku wakimaliza nakucheki ila itabidi uzoee makelele pia maana hawa ni wachina.
Hapana sipendelei tu🤣🤣😊
Waogopa kufa au
[emoji1534][emoji1534][emoji1534]Kichwa kichafu tunakuaga nae lindo kule Jukwaa la michezo
[emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa Kichafu kawa dalali [emoji23], ana lala Sana siku hizi[emoji1].
Mimi kulala ni maKosa kwangu, SI unajua ma Jobless tuna mambo mengi
[emoji1534]2:37.....Mmojawapo ni mfanyabiashara mwenye akili Tele mwingine ni dirty ndonga.....hawalali hawa jamaa ukiwaiga lazima udondoshe simu usingizini [emoji3]
00:51 I report and depart
Acha kuvimba bichwa 😀😂, siku hizi Ume kuwa muuza duka, una lala Sana🤣