Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,327
- 16,581
Ahsante kwa kuliona hilo,Huyu afande yupo lindoni kwa makosa maalumu taachiwa mpaka pale tutakapo jiridhisha na nidhamu yake. Ahsante
Hayuko sawa kabisa kabisa tangu aachwe na kupewa cheo cha ng'ombe kwenye mapenzi,akili yake inazidi kudhoofu.
Aangaliwe kwa ukaribu.