Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,079
Hawa vijana hamna kituNaona kazi ya Ulinzi imewashinda Vijana hadi Wazee tunakuja wenyewe kulinda 😜
12:15 AM
Hawa vijana hamna kituNaona kazi ya Ulinzi imewashinda Vijana hadi Wazee tunakuja wenyewe kulinda 😜
12:15 AM
😂wamekimbia lindoHawa vijana hamna kitu
06:02 ndo unaamka? Ungeibiwa silaha je?06:02 zee staafu tu🤓🤓
Kazi imewashinda ngoja turudi wazoefu😂wamekimbia lindo
KabisaKazi imewashinda ngoja turudi wazoefu
Kwa kweli aisee 😅Hawa vijana hamna kitu
Hiyo challenge Wazee tutaibuka washindi, hatuchelewi kumlipa robot afanye kazi ya kutulindia lindo sisi tukiwa tumelala 😅00:31 Vipi tuweke challenge 😆😆
Mzee hata lije sanamu, u will never win against sisi vijana😆🤓Hiyo challenge Wazee tutaibuka washindi, hatuchelewi kumlipa robot afanye kazi ya kutulindia lindo sisi tukiwa tumelala 😅
Hahaha...............ngoja niongee na Elon Musk anipatie robot Moja lianze kazi Leo usiku 😜Mzee hata lije sanamu, u will never win against sisi vijana😆🤓
We ongea ba li roboti la kichina, lipe command tuone🤣🤔Hahaha...............ngoja niongee na Elon Musk anipatie robot Moja lianze kazi Leo usiku 😜
Wale watuuuuuuuuuu ghala bwana amara anawasubiri 🤣 🤣 🤣Maafande mjiandae kuchukua silaha
Niko Amara saivi cha ajabu hamna hata staff mmoja aliyejitokeza sasa sijui mnataka shangazi yangu atoke kijijini ndo aje alinde😂Wale watuuuuuuuuuu ghala bwana amara anawasubiri 🤣 🤣 🤣
Usiku wa manane bado tulieni hovohivo tuwaangalie Barcelona na Arsenal 😂😂. Ndo tuendelee na lindo.Wale watuuuuuuuuuu ghala bwana amara anawasubiri 🤣 🤣 🤣
Arsenal wameshikiliwa hukoUsiku wa manane bado tulieni hovohivo tuwaangalie Barcelona na Arsenal 😂😂. Ndo tuendelee na lindo.
bwana amala yupo kwenye ghala tayariUsiku wa manane bado tulieni hovohivo tuwaangalie Barcelona na Arsenal 😂😂. Ndo tuendelee na lindo.
Wanepata golf bhanaArsenal wameshikiliwa huko
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 au mnataka mtoto wangu Felista aje alinde? baba wanasema wanasema mwambie CO na adjutant ndiyo waje walinde 🤣🤣🤣🤣🤣Niko Amara saivi cha ajabu hamna hata staff mmoja aliyejitokeza sasa sijui mnataka shangazi yangu atoke kijijini ndo aje alinde😂
Huyo tumuache si anapenda kazi yake kuliko sisi sote hapabwana amala yupo kwenye ghala tayari