Mi nimekuwa mvuvi kweli yaanTupo macho tunakula kitabu
Nani muongo ?Muongo huyo anamishe zake poa tu .....usimuamini Intelligent businessman
AmenTuombe wapendwa hata kwa sekunde:
ASANTE MTAKATIFU ULIYEKETI MAHALI PA JUU PALIPOINUKA,ASANTE JEHOVA MUUMBA MBINGU NA NCHI.....Tunakushukuru Mungu wetu kwa kila kitu umefanya na unaendelea kufanya kwa ajili yetu....tu nashukuru Bwana maana waturehemu na kutusamehe makosa yetu....endelea kutupigania maana peke yetu hatuwezi pasipo msaada wako Mungu wetu!
Asante kwa kutuamsha salama na kutulinda na Mabaya usiku wote.Tunaomba ukabariki kila kazi ya mja wako siku ya leo.KATIKA JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU TUNAOMBA NA KUKUSHUKURU.AMINA
AminaAmen
Intelligent....Yeye ni boss wa kampuni fulaniNani muongo ?
Hapo sawa ...ila najua humu JF karibu wote wakurugenzi..maboss na matajiri ndio maana sina hofu na mtu ..na nishangaaga mtu akinipiga mzinga 😄😄Intelligent....Yeye ni boss wa kampuni fulani
We ulisha paona mbinguni 😀?Ni jalala kwa sababu tupo duniani....mbinguni huenda mambo ni poaa🤓
Madam mbona Mna penda kukurupuka, sinaga utani wa namna hiyo mpaka niseme nimfate mtu.Muongo huyo anamishe zake poa tu .....usimuamini Intelligent businessman
Mkubwa tuki acha utani, Jambo nililo kuambia ni serious bhana.Hapo sawa ...ila najua humu JF karibu wote wakurugenzi..maboss na matajiri ndio maana sina hofu na mtu ..na nishangaaga mtu akinipiga mzinga 😄😄
Dah Leo ume yumba kweli, una wezaje kuja kunsemea mtu bhana???.Intelligent....Yeye ni boss wa kampuni fulani
Mkuu mimi jobless pro max tu, siko list hiyo.Hapo sawa ...ila najua humu JF karibu wote wakurugenzi..maboss na matajiri ndio maana sina hofu na mtu ..na nishangaaga mtu akinipiga mzinga 😄😄
Weee acha uongo..bhasi.....nyie mdio madon wenyewe humu , Hahahahahaha ,muhimu tupeane dealMkuu mimi jobless pro max tu, siko list hiyo.
Nifabyie mpango, nitoke mkubwa
Mkubwa hivi niki danganya Napata kipi??, Yaani niji ite don.Weee acha uongo..bhasi.....nyie mdio madon wenyewe humu , Hahahahahaha ,muhimu tupeane deal
Hahahahaha..mimi kuamini mtu humu ngumu sana...ila pia km nilivyokuambia niliwahi dhamini vijana wenzangu walichonifanya Mungu anajuaMkubwa hivi niki danganya Napata kipi??, Yaani niji ite don.
Akati chini ni ombaomba!?
unajua Hawa wengine Wana kurupuka tu, so ana hisi alivyo ndo kila mtu Yuko hivyo.
SI wengine tunavyo ishi, ajuae ni mola tu
Mkubwa legeza Moyo kijana nione mwanga.Hahahahaha..mimi kuamini mtu humu ngumu sana...ila pia km nilivyokuambia niliwahi dhamini vijana wenzangu walichonifanya Mungu anajua
Ni vizuri ukasimamia msimamo wako mkuu....mtu hawezi kukuua usipompa.Hapo sawa ...ila najua humu JF karibu wote wakurugenzi..maboss na matajiri ndio maana sina hofu na mtu ..na nishangaaga mtu akinipiga mzinga 😄😄
Mi pia....usimwamini asiyekuwa na Imani nawe sikuzote mkuuHahahahaha..mimi kuamini mtu humu ngumu sana.
😶 huna haja ya kuonekana umepuvuka mkuu,we jiachie..,.mi ni mtaalamu wa kupokea negative na positive tena negative from you nimepokea nyingi mno....sema nini....KUVUMILIANADah Leo ume yumba kweli, una wezaje kuja kunsemea mtu bhana???.
Una pata wapi ujasiri huo??
Sema siku hizi nime pevuka kiakili, ila next time usicho kifahamu kheri utulie
Ndiyo mkuuWe ulisha paona mbinguni 😀?