JamiiForums Usiku wa manane

Kama pangaπŸ˜€πŸ˜€ haya bana mkuu sisi mapanga ngoja tuendeleeπŸ˜€
Eeh panga halikumbatiwi bana, me anachofanyaga yule bint ni kunipokonya simu na kunipigisha story hapo nitapitiwa tu maana sipo interested na story zake sizielewagi kabisa naitikia itikia mwisho nasinzia.
 
Naona umeongea kitaalamu sana ....kwamba yeye ndiyo amebeba Usingizi wako

Ile dawa ya asili niliyoisema pale juu ndiyo hiyo sasa πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Babu sio hiyoooo, haki!
Namsubiria hapa sio nyumbani, niombee ufike huo wakati wa kumsubiri nyumbani nikuletee wajukuu mapacha.
 
Babu sio hiyoooo, haki!
Namsubiria hapa sio nyumbani, niombee ufike huo wakati wa kumsubiri nyumbani nikuletee wajukuu mapacha.
Hahaha............sitaki kuamini Mjukuu, yaani mrudi mmeshikana mikono bila kushikana viuno?😜

Babu yako nasubiria Wajukuu tu πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…