Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,088
- 100,556
Mmmh huu ndio mwezi ambao watu wako kamshange mwezi mzima3:47 AM
December, the most boring month🚮
Na mwezi wa kupata ubuyu wa moto moto kutoka kwangu, jiandaeni kuburudika.Disemba mwezi wa bata huu mwanzo mwisho
Hahahahaha,uni tag niwe nasomaNa mwezi wa kupata ubuyu wa moto moto kutoka kwangu, jiandaeni kuburudika.
Asante Mwl .. Nakupenda mnooo.. Depal 😘😘😘Thank you kaka Chaz.. mwezi mpya ukawe wa baraka kwako na uwapendao.
God is good… imefika ule muda wa kuisikiliza ‘from January to December nimejua aliyenilindaaa ni wewe…
Happy new month mkuu wangu Certified Hater
Happy new month dear Mtani...mwezi huu ukawe baraka kwako....
😂😂Asante na kwako pia mwezi wa nikuambie kitu, leo ikiwa ukimwi day, asante mkuu kwa salam hizi nimefurahi sana
Sipendi kuitwa my hujui tu, sipo town niko bushKaribu kigamboni my
Bush pande zip🤣Sipendi kuitwa my hujui tu, sipo town niko bush
🤣🤣🤣🤣Ety mwezi wa nikuambie kitu daah💔💔🚮😂😂Asante na kwako pia mwezi wa nikuambie kitu, leo ikiwa ukimwi day, asante mkuu kwa salam hizi nimefurahi sana
Za Tanzania 😂😂Bush pande zip🤣
Nataka nikwambie kitu😂😂🤣🤣🤣🤣Ety mwezi wa nikuambie kitu daah💔💔🚮
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Za Tanzania 😂😂
Shida ni nini mahi wangu?Sipendi kuitwa my hujui tu, sipo town niko bush
Yani jamaa kanikata stimu kishenzi, niliosoma nao wakaishia msingi au sekondari tulikuwa tukikutana kwenye mitandao basi wanaweka hizo my nilikuwa napata hasira vibaya mnoShida ni nini mahi wangu?
🤣🤣🤣🤣Yani jamaa kanikata stimu kishenzi, niliosoma nao wakaishia msingi au sekondari tulikuwa tukikutana kwenye mitandao basi wanaweka hizo my nilikuwa napata hasira vibaya mno