Wazo Zuri Maashaallah nimejifunza kituTafuta mtu akupe mwaliko
Halafu kama si mtu wa kuchagua kazi jichanganye kwenye majumba ya kulea wazee cha kushangaza majumba mengi yanamilikiwa na wa [emoji1139] faida yake unapata sehemu ya kulala na misosi..unachokipata utajiongeza mwenyewe
🤣🤣🤣🤣 jamaniDepal natamani nikuteke hadi wanisusie wazazi mwisho wa siku wanipe bure mtoto wao.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Pakikucha.. unataka uwe unanunua mpk mchicha? Tembele? HaifaiBaridi aisee😂. Sitaweza
Kweli kabisa. NitajitahidiPakikucha.. unataka uwe unanunua mpk mchicha? Tembele? Haifai
Basi tu me uvumilivu umenishinda kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani
Sa kwann
05:3802:58
Ova
Wewe unataka kuniua sasa, mambo gani haya unasema 🤣🤣🤣🤣
Usife bana wadogo zako wanajifunza mambo ya ndoa kwako eti.Wewe unataka kuniua sasa, mambo gani haya unasema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namwamini lakini, sina wasiwasi.
Thank you so much, B..., for picking me out of so many. Being selected is exciting, but being chosen by you is much more exciting.And, the reason why you are the one in a million b...