JamiiForums Usiku wa manane

Oi
Kumekucha, tusubiri jua lizame kwenye tope jeusi tuamshe popo
 
Unapambana unajibana, mwenzako asie na malengo hela anayopata anakula bia kidibwi anapata lishangazi lenye kitengo linampa mtaji anatoboa,

Nawewe unatamani una tafta lishangazi linakupa magonjwa.[emoji174]

Kuna mda maisha ni bahati, kaa kwenye njia yako achana na bahati za watu.[emoji404]
 
Yamekusibu yapiiii?
Mwaga mastory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…