Kitu umefanya kaka...unafikiri kwanini nimekuuliza kama umenusurika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...Nime pigwa ban ya selfika tu[emoji16][emoji1787][emoji1787], Japo Sija fanya kitu[emoji16][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana unapenda sana waarabu....ngoja nichunguze kwanza pdf lako likiletwa Selfika ndio nitakuunganishia katoto keupee ka kiarabuOya na mpango wa kuoa 2030, vipi hamna manzi was kitanga au mwarabu[emoji847]
Jamani mbona wengi wame pona😁🤣Kitu umefanya kaka...unafikiri kwanini nimekuuliza kama umenusurika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Sina na sita wahi kuletewa PDF la mchongo😁🤣🤣🤣, fanya uhakika trudie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana unapenda sana waarabu....ngoja nichunguze kwanza pdf lako likiletwa Selfika ndio nitakuunganishia katoto keupee ka kiarabu
Na wewe una niua 😁🤣🤣😂aje rafiki yangu To yeye anipe maisha.. kwanza 😅😅😅.. ila huu uzi mnatakiwa kusogeza pua saa 00:00.. inakuwaje mapema tu mpo hapa
Kula mchemsho wa bilinganya ,unasaidia ...ikishindikana subiri tukutaftie mbung'o wakung'ate tu[emoji23]Mbona namezaga, still hamna maajabu[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Jamani serious sija wahi approach mtu🤣😂😂😂.Nipo nimeka pale selfika nasubiri....
Huna upendo na Mimi😂🤣🤣😂Kula mchemsho wa bilinganya ,unasaidia ...ikishindikana subiri tukutaftie mbung'o wakung'ate tu[emoji23]
Nyoo it's kuwa una meza ma piliton, uliyo nambia🤣😂😂Mi nawahi siti tu alaf nalala[emoji23] ,sipendi stress .