Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,479
nimeiskiliza sanaI remember when they said, they don't believe in me no more
I was sleeping on the ground, on the cold floor.
Whole time I have been grinding, trying to achieve
Working night and day, no time to sleep.
π mshamba_hachekwi hii pen game ni π₯π₯π₯π₯
Ee, mimi nahisi njaa hapashida ya kukesha unatamani kula kila saaπ
inawezekana, sema ni ghali... unafungiwa net ya nyaya
Hii sio ya waya, ni radio(Dish) ndogo inafungwa juu ya paa uelekeo wa mnara ulipo...wanaconnect link na converter na router ...inawezekana, sema ni ghali... unafungiwa net ya nyaya
Nime penda uandishi, representation na hata Jamaa aliye flow.nimeiskiliza sana
shingapi kuinstall hiyo transceiverHii sio ya waya, ni radio(Dish) ndogo inafungwa juu ya paa uelekeo wa mnara ulipo...wanaconnect link na converter na router ...
Ni mwendo wa kuserereka tu ...
usimlinganishe polo na hao walala hoiNime penda uandishi, representation na hata Jamaa aliye flow.
πSema wange mpa nasty c au Khali graph ingekuwa Mile stone
niko na mkate hapa bila kusahau chupa ya majiEe, mimi nahisi njaa hapa
Hivyo vitu siwezi, ngoja nijibembeleze. Nitavimba machoniko na mkate hapa bila kusahau chupa ya maji
Dogo flow na ball pen yao ni π₯π₯,usimlinganishe polo na hao walala hoi
We yako chipsi na kidaliπ€£ππ€£Hivyo vitu siwezi, ngoja nijibembeleze. Nitavimba macho
Mkate ni lainiWe yako chipsi na kidaliπ€£ππ€£
GHARAMA TTCL watakuambia ni bure ukishajaza fomu na kununua vifaa vinavyotakiwa....shingapi kuinstall hiyo transceiver
hakuna mtu hapa afrika wa kulingana na polo, halina ubishiDogo flow na ball pen yao ni π₯π₯,
bora niwatafute konnect, wao ni 400k na kituGHARAMA TTCL watakuambia ni bure ukishajaza fomu na kununua vifaa vinavyotakiwa....
Lakini ukisema Usubiri bure... Utasubiri hadi yesu anarudi...!!
Imenicost 500k + 50 ya logistics...chakula&soda... Maana walikuja kiofisi nyumbani...
Huku ni mkoani... Total 550k
Hamfikii hata dax ππ€£π€£hakuna mtu hapa afrika wa kulingana na polo, halina ubishi
flow na pen game polo anavyo
USI sahau kuni alika, Kwenye unboxing dayππ€£π€£bora niwatafute konnect, wao ni 400k na kitu
sema wanaanza 60k/mo
dax sio mkubwa mbonaHamfikii hata dax ππ€£π€£
Ko chipsi ya ni ngumu ehhππ€£π€£Mkate ni laini
Dax hayuko signed under any record label ka hawoo kina polo, hata Eminem Wana mkubali dax.dax sio mkubwa mbona