JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Utaratibu wa mabasi kufika Mbezi trminal usiku wa manane sio poa kabisa. Usafiri wa kuwapeleka abiria nyumbani shida. Hakuna mahali popote pa kupumzika ili alfajiri ifike. Hakuna chakula.
Mabasi yangefika alfajiri ya saa 11 asubuhi. Yaanza safari muda ambao yatafika Mbezi alfajiri au asubuhi.
 
Pole sana.. Fanya kurequest
 
Back
Top Bottom