JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

🀣🀣🀣 Kwa kweli chukua maua yako, πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚

Vipo kama vichina ulizaa na mzungu nn au muitaliano 🍰🍰
Eeheehehh ebu niwache kidogo bhnπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 Kwa kweli chukua maua yako, πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽ‚

Vipo kama vichina ulizaa na mzungu nn au muitaliano 🍰🍰
Mungu azidi kuwatuza jaman.. Uje kuwafundisha programming πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tena navyopenda vivuruge sasa, πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Ww kilete tutavurugana vizuri tu kinapenda kula nn, au ni wale mpaka umweke cartoon ndo ale.

Kazi kweli 🀣😎😎,
Ohooh apo ni mtihani sana,, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kula hao hadi ubane miguu uanze kuwaambia aya chukuaa weka mdomoni tafunaa mezaaa alafu hamezi anakuangalia tuu yan, hovyoo kabisaaa ao jamaaπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Pole mamiii, πŸ˜“πŸ˜“ ni tough kweli watoto 3 si mchezo kwa kweli, 😒

But keep pushing
 
Back
Top Bottom