Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,734
- 3,310
[emoji23][emoji23][emoji23] BASI wewe mzoefu wa haya mambo hasa kuwalaghai mabinti za watu but kumbuka laana zitakutafuta kwanini uzini na watu kwa kisingizio cha kuwaoa halafu hamwaoiDuuuh[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Weee janja unahitaji Twiti kabisa tena la Kiombo au Mgote.
Mbona watu tumeishi na pisi kali zaidi ya Miaka 10 sasa na hatuna hata jero na tukiitaka tu inaletwa chapu na Wanaamini tutawaoa.
Uyu tumwombee Upedeshee tu vinginevyo hatoboi hasa hizi Relation za siku hizi. Huna pesa ya kumridhisha mwanamke ni Mikakati tu itakuweka Pazuri.We bdo unaishi mtandaoni. chukua hii ( hbari za kweli mtaani blogs ni fake)
Nipewe tu maua ynguHahahaa na tukupe kabisa hii jf
Sio mkono mmoja kwenye usalama taratibu gitaa linapigwa mkuuHebu tupeane taarifa pozi tulizojiegesha nazo mida hii! Binafsi ni chali
Niko lindo sina poz maalumπππHebu tupeane taarifa pozi tulizojiegesha nazo mida hii! Binafsi ni chali
Amina aminaπ[emoji23][emoji23][emoji23] BASI wewe mzoefu wa haya mambo hasa kuwalaghai mabinti za watu but kumbuka laana zitakutafuta kwanini uzini na watu kwa kisingizio cha kuwaoa halafu hamwaoi
Hakuna urafiki Kati ya mwanaume na mwanamke bila pesa niko chuo hayo mambo nayafahamu vyema tu binti akishaanza kukuzoea anaanza kukuomba hela mazoea mabaya sana haya hayafaiOky oky, usome sasa mengine achana nayo kama hata kutengeneza urafiki kunahitaji pesa, bado sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Imeenda hiiNiko lindo sina poz maalumπππ
We janja ni kwamba huelewi au unajichetua sasa ni Binti gani atakupa chini kizembe labda malaya. Danganya uokoe Jahazi.[emoji23][emoji23][emoji23] BASI wewe mzoefu wa haya mambo hasa kuwalaghai mabinti za watu but kumbuka laana zitakutafuta kwanini uzini na watu kwa kisingizio cha kuwaoa halafu hamwaoi
Hivi kua na Mke Askari na anapangwa Night shift si ni Kilio sana[emoji848]Niko lindo sina poz maalum[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]hizo mbinu za kumteka huyo pisi bila kuwa na hela ni zipi mkuu ??We janja ni kwamba huelewi au unajichetua sasa ni Binti gani atakupa chini kizembe labda malaya. Danganya uokoe Jahazi.
Ndio maana tukaumbwa wanaume uvumilivu unahitajikaHivi kua na Mke Askari na anapangwa Night shift si ni Kilio sana[emoji848]
Zipo nyingi kwanza punguza Utawa wanawake hawatakagi Maisha Makavu makavu sana kama hayo unayoishi wewe.[emoji23][emoji23][emoji23]hizo mbinu za kumteka huyo pisi bila kuwa na hela ni zipi mkuu ??
Dgo amesandaKwaio hata groupmate pia yahitaji pesa? π π π Nilikua huko miaka 10 iliyopita kweli mambo yatakua tofauti sanaππππ au unasemaje mshamba_hachekwi ππππ
Dadeki afu nasikia saivi Majeshini wana Mkataba wao wa Ndoa kwamba Ndoa si sababu ya Kuhama kikazi oaneni mkijua mtaishije hawatoi uhamisho mtaish kwa bluetooth.Ndio maana tukaumbwa wanaume uvumilivu unahitajika
Sema atafika mbali sana hawa wanawake nao aga wanapunguza effeciencyDgo amesanda