JamiiForums Usiku wa manane

Hii dunia we acha tu.
Unaweza kua na mke Tena pisi la nguvu lakini ukaingia chumbani na nyege zako na kuamka nazo na kuondoka nazo kwenda kwenye mihangaiko yako, huku majirani wakikuonea wivu kwamba unafaidi
Maisha ndivyo yalivyo mkuu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…