JamiiForums Usiku wa manane

Haijanisaidia hata kidogo my wangu
Doh πŸ₯Ή
Pole sana my wangu.
Me last month nilipata cha nimonia, nikapewa hizo azuma β€˜huko nyuma nikikuwaga sijawahi zitumia hizo dawa.
Kwenda kutumia vikanishinda ule ukubwa wake πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikarudi hosp nikasema zile dawa siziwezi, nikaandikwa sindano 3.

Last week kuna pipo 2 nazo.. kifua, mafua kikohozi. Wamepewa azuma

Ulifika hosp? Dr alisikiliza kifua? Ukute ni nimonia af unaitibu km kifua cha kawaida lzima dawa ikatae
 
Nataka nirudi hospital tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…