JamiiForums Usiku wa manane

Oi mkuu. Nipo lindo
 
H
Hapo saa 12 asubuhi ndo anapata usingizi wakati wewe unatakiwa uamke uendelee na shughuli nyingine...[emoji1787][emoji1787].
Kuna muda unatamani awe mkubwa hata umkaripie inabidi uwe mpole. Unamuomba naomba ulale basi mwanangu anakuangalia tuu bahati sio mlizi maana mkeshaji huku analia ni habari nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 05:59
 
07:30
 

Nilipitiwa mkuu
 
Mpiga chabo nipo site
 
Albino wa mchongo why ๐Ÿคฃ
 
Oi kumekucha wakuu.

Tusubiri tena wakati wa wanga tupashe moto uzi
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ tunalea baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ