JamiiForums Usiku wa manane

Panya wanduanzi sana kipindi apeche alolo zile kamba za chandalua ndio njia zao

Daah asee nilikuwa nawacheck tu
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“ Nimecheka sana aiseee... Wanavopita hawana habari an
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ™ŒπŸ™Œ Ni vurugu tuu hamna kitu pale.. uwoni nilivotulia nilovoona jamaa yupo serious anashusha mambo ahahah
Yaan anatuuliza mambo ambayo ako na majibu nayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aone tuu jinsi tusivo na akili
 
Kwani ye lazima akule..
Yaani yee ana tumbo la njaa kila mdaπŸ€“πŸ€“
 
Yaan anatuuliza mambo ambayo ako na majibu nayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aone tuu jinsi tusivo na akili
Si unajua tena anatufanyia brain Strom an anatupa fact kidogo...
Uwe makini usije ukanyonywa
 
Wanakimbizana alafu fasta unawaona kwenye kenchi walikuwa wanakata sana

Wanakutim muda umezima taa
Yaani wana amua tuu kukualibia stim ahahaha panya sheenziii sana wale jamaaa.. mda mwingine zile virugu daah
 
Yaani wana amua tuu kukualibia stim ahahaha panya sheenziii sana wale jamaaa.. mda mwingine zile virugu daah
Wakiona unataka kupata usingizi wanaanza style yao ya kukimbizana huku wanalia swi swi swi

Daah Kum...ke panya asee
 
Wakiona unataka kupata usingizi wanaanza style yao ya kukimbizana huku wanalia swi swi swi

Daah Kum...ke panya asee
Ahahahahah daah maisha haya tunapitia mengi aisee ndo ecosystems hiyo.. na wenyewe pale wanainjoo sana an
 
Vipi kuhusu chura? πŸ˜‚ πŸ˜‚ stow away Poor Brain
Chura ni amphibians pia anakula wadudu na matunda.. aaah usilolojua kuhusu chura ni kuwa ana miguu mirefu ya nyuma kuliko ya mbele..
Chula pia anaruka ruka.
Pia chura huwa anatumika kama signal kwa waimba singeli ndo mana inasikia wakisema "" nioneshe chura.. chura analuka luka chura""
 
Mafuta ya chura acha kabisa
 
Yaani kafanya usafi, kaoga na kutandika
"" Sitoweza kuja "" πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Hili neno kwa sisi masela tunasema ni siku mbaya

Ishanikutaga sana hii najikuta nakunywa kinywaji mwenyewe na kuanza kuskiliza Hip Hop ili nipate ujasiri asee

mfuta ya chura yanatesa askwambie mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…