JamiiForums Usiku wa manane

Family is all about family, kwani akiwa na mtoto kuna ubaya. Eti madam Bantu Lady, Dahan, Johnnie Walker, National Anthem, stow away, Mzee wa kupambania πŸ€”πŸ€”
Issue kupata mwanamke, ukikuta kijana ana jadiri au kutumia kigezo kuwa kaisha zaa au bado hujui bado huyo hajakomaa. Kuna wanawake wamezaa ni bora mala 1000 ya ambao hawajazaa.. tatizo vijana siku hizi wanatekwa na hisia na tamaa zaidi na wanajikuta wanakosa vilivyo bora.. unakuta alie zaa ndio mke ulie kusudiwa kabla hujazaliwa na unakuta alizaa kwasababu wewe ulichelewaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…