Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Itoe mkuu nisamehe nilipo kukosea itoe mbona unatak tuendeelee kukesha hapa jfUshaanza kuogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] dawa yako nishaijua[emoji1787][emoji1787] wewe na nyoka, panya, mende [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uku hatuna uswahili,ukitaka kula hiyo subiri mualiko,sio upange mualiko wewe Kama vile ndio unaalika hahahKwahiyo zwenge ndaba na Bantu Lady mmeshindwa ninulia biliani kwa nino
ππππ kumbe unanijuaNgoja ni lale[emoji1787][emoji1787] wewe humalizagi mjadala mpaka bando ikate
Mnalinga sana nyie binadamuUku hatuna uswahili,ukitaka kula hiyo subiri mualiko,sio upange mualiko wewe Kama vile ndio unaalika hahah
Sio mimi mkuu, naona usingizi umekuja ghafla baada ya picha ya mangi Mushi π€£π€£π€£πππJamani inabidi nilale tu πππππ kumbe nilikuwa naona Avatar ya AGITATOR nafikiri ni Mzee wa No malice to nobody ππππππ
Kwani mnatumia Avatar zinazofanana eeh ama?Sio mimi mkuu, naona usingizi umekuja ghafla baada ya picha ya mangi Mushi π€£π€£π€£πππ
Hapana kabisa.Kwani mnatumia Avatar zinazofanana eeh ama?
Hapahapa ππππ
Kila mtu aweke picha yake hapa.ππππππ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Mmmh naogopa dhambi mimi. Hapa mmefungua si ndiyo. Kila kitu ruksa? Halafu leo nilibless kule mahala petu ujueMalizia basii