JamiiForums Usiku wa manane

Ninakushuru MOLA wangu, sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili
πŸ‘‰Ninakushuru MOLA wangu, sababu ya vingi- hata nikiwa nasali unajua namaanisha.
πŸ‘‰Ulikonitoa ni Siri ya moyo wangu, matopeni matopeni. Ukanikalisha na wakuu juuπŸ™πŸ™
πŸ‘‰Aibu umefuta, fedheha umefuta
Umenioa amanj ya kweli
πŸ‘‰Kuna kipindi nilikufa, ikiwa siku za usoni. Walisema tutazika lini ila ulipigania daimaπŸ™πŸ™
πŸ‘‰ Asante MOLA wangu πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…