Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Amina Mungu atupe maisha marefu. Nimecheka tungeishia kuuza nyumba ππππππSema ishi Sana my boss, ila nawaza hivi vichwa vyetu vingekutana, SI tungeuza nyumbaaa
Nini Tena madam, au unataka ukasirike. Kama umekosa uji was msibaniiππππ
I mean no malice to nobody, ila ukinikera nakubabua Kama mahindi ya kuchoma.Amina Mungu atupe maisha marefu. Nimecheka tungeishia kuuza nyumba ππππππ
Bantu Lady sina ID nyingine..Si unajua ukiumwa ukorofi unazidi. Yaani mimi kwa maono yangu nazioma zile ID zako zingine mbili zenye O π€π€π€πππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Mm kununa mwisho ni masaa 24 siwez nunazaidi ya hapo hivo usijalπππNini Tena madam, au unataka ukasirike. Kama umekosa uji was msibaniiππ
Naviiba Kisha namuuzia huyo huyo Bantu Lady ππNa ungekua unaiba pia vitu vya ndani..π€π€π€
Mkigombana suruhu yenu ni National Anthem ....Naviiba Kisha namuuzia huyo huyo Bantu Lady ππ
Sio kweli. Bi Mkubwa wako anakujua vizuri sana binti yake π π πMimi Bado sijakua ujueπππ
Ahahahah ujakutana na vya kukasilisha weweMm kununa mwisho ni masaa 24 siwez nunazaidi ya hapo hivo usijalπππ
Real ila nikinuna nisipigiwe na nisitumiwe sms unaweza kuvunja simu ππAhahahah ujakutana na vya kukasilisha wewe
Noo, JF advanced search ndio imenisaidia. Maana nikiuliza jina uliokuwa unatumia kabla ya ili, ndio ikanionesha π π π πππKumbe ulikuwa unajua
Nisameheee maana Leo nimeenda ugenini, Kisha nikaenda kwenye chumba.Mm kununa mwisho ni masaa 24 siwez nunazaidi ya hapo hivo usijalπππ
Mimi nakukaanga kwenye mafuta yaliyochemka, lazima ukaangike... ukitoka hapo huna ngozi, mdomo umefumbwa... No malice to nobody βΊβΊβΊβΊβΊI mean no malice to nobody, ila ukinikera nakubabua Kama mahindi ya kuchoma.
Na vyombo pia vya karibu....Real ila nikinuna nisipigiwe na nisitumiwe sms unaweza kuvunja simu ππ
Wamekutana sasa......π€π€π€ππMimi nakukaanga kwenye mafuta yaliyochemka, lazima ukaangike... ukitoka hapo huna ngozi, mdomo umefumbwa... No malice to nobody βΊβΊβΊβΊβΊ
Rafikiyangu yaani ananielewa vibaya sanaSio kweli. Bi Mkubwa wako anakujua vizuri sana binti yake π π π
Sivunji mm atapokea sms ndo atavunja navoandika magazetπππNa vyombo pia vya karibu....
Wenzako wanalia tuu inaisha,,
iyo ya kuvunja vitu hiyo π€π€π€π
Mfukunyukuπππ€π€π€π€ππNoo, JF advanced search ndio imenisaidia. Maana nikiuliza jina uliokuwa unatumia kabla ya ili, ndio ikanionesha π π π π
Umekunywa gongo mzeeππNisameheee maana Leo nimeenda ugenini, Kisha nikaenda kwenye chumba.
πNikakutana ka mtungi kadogo keupe, nikawazaπ€ yaani wanaficha maji hukuuu ehh
πKuwakomesha nikaona niyanywee, dah ni machachu hayo Kama ndimu aiseeππππ€£ Aaliyyah
Nikitoka hapo, nakufinyanga Kama tonge la ugali, kiSha nalitupa liliwe na paka.Mimi nakukaanga kwenye mafuta yaliyochemka, lazima ukaangike... ukitoka hapo huna ngozi, mdomo umefumbwa... No malice to nobody βΊβΊβΊβΊβΊ
Mkeka usio pungua maneno 1700.Rafikiyangu yaani ananielewa vibaya sana
Sivunji mm atapokea sms ndo atavunja navoandika magazetπππ