JamiiForums Usiku wa manane

Ankol bado naumwa, ila kwa leo kidogo afadhali. Poor Brain eti ananisubiria hapa. Hajui mwenzake naumwa huku
Ulikuwa ndiyo kwenye harakati za kuiba? Mwizi mkuu Intelligent businessman alikuwa mitaa gani tena?
Pole sana, ongeza kupiga chai dawa aunt, ila uchanganye na asali..

Intelligent businessman wakati mie baiba, kumbe alikuwa kaenda kwa Dahan napo hakumkuta sasa.. akaamua alale getini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. Poor Brain hana huruma huyo 🀣🀣
 
Sawa Ankol nafanya hivyo. Asante sana, maana umeniuguza kwa ushauri wako atii Ankol.
 
Ila kuna watu ni mafundi sana kwenye worship πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…