Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,698
Kibarua hakiwezi potea. Mambo yakiwa tight na mm naanza kukaba 😅😅Unalala sana wewe siku hizi kuwa makini usije kupoteza kibarua 😀😀
Kibarua hakiwezi potea. Mambo yakiwa tight na mm naanza kukaba 😅😅Unalala sana wewe siku hizi kuwa makini usije kupoteza kibarua 😀😀
Unahisi itakuwa ya nani? Maana bwana yule siku hizi haonekani 😀😀Dahan naskia ni mjamzito 😅😅
Me siwezi sema. Ngoja aje hapa, kila kitu kitakuwa wazi 😅😅😅Unahisi itakuwa ya nani? Maana bwana yule siku hizi haonekani 😀😀
Karibu chama laKibarua hakiwezi potea. Mambo yakiwa tight na mm naanza kukaba 😅😅
Sawa ngoja tuupe muda nafasi 😀Me siwezi sema. Ngoja aje hapa, kila kitu kitakuwa wazi 😅😅😅
Mbio bila pumzi unaweza kuumbuka. 😅😅😅Karibu chama la
👉panga mkononi
👉roho began
Nguvu na mbio ndo mtaji 😀😀😀
Pumzi ikikata unakitupa chini ulichokiiba 🤣🤣🤣Mbio bila pumzi unaweza kuumbuka. 😅😅😅
Wanakiokota then wanaendelea kukukimbiza 😅😅😅Pumzi ikikata unakitupa chini ulichokiiba 🤣🤣🤣
Kwa uzoefu wangu ile wakienda kukiokota tu tayari umeshawacha halafu wengi huwa wanazubaa kuangalia kama kizima😀😀😀Wanakiokota then wanaendelea kukukimbiza 😅😅😅
Kinini😁Kwa uzoefu wangu ile wakienda kukiokota tu tayari umeshawacha halafu wengi huwa wanazubaa kuangalia kama kizima😀😀😀
Dogo unafeli, Ina onesha mapenzi Yana kuendeshaaa SanaaNiko hapa natafuta wa kumkabidhi lindo Analyse simuoni 🤣🤣🤣
Safi Sana, kwa mtindo huu. Chama kitafika dunia nzimaa. 👉 Tumeanzisha vita na raia wenye Mali.Karibu chama la
👉panga mkononi
👉roho begani
Nguvu na mbio ndo mtaji 😀😀😀
Naandaa, dawa ambayo ukikimbizwa, una geuka kuwa mlima udzungu😆😁. Mzee wa kupambania, National Anthem, AnalyseMbio bila pumzi unaweza kuumbuka. 😅😅😅
Ulichokiiba 🤣Kinini😁
Hiyo itanifaa sana aisee 🤣Naandaa, dawa ambayo ukikimbizwa, una geuka kuwa mlima udzungu😆😁. Mzee wa kupambania, National Anthem, Analyse
Bwanaee nimeshikwa na mke wa mtu 🤔😀Dogo unafeli, Ina onesha mapenzi Yana kuendeshaaa Sanaa
Lazima twende nao sawaSafi Sana, kwa mtindo huu. Chama kitafika dunia nzimaa. 👉 Tumeanzisha vita na raia wenye Mali.
Soku nyingine beba korie, utanishukuruBwanaee nimeshikwa na mke wa mtu 🤔😀
Soku nyingine beba korie, utanishukuruBwanaee nimeshikwa na mke wa mtu 🤔😀