π π π π Bantu Lady anakoroma muda huuHiyo ofisi ya Bantu Lady unakesha ila mishahara midogo sana lazima ujiongeze π€£π€£π€£
Dah mweli pombe mbaya, yani inakufanya utuone sisi sisimizi Kama mbwaaNaaam mkuu mimi nipo nilipitia mida ya saa 8 nikaona maboss mna maongezi nikaona itifaki izingatiwe nikaingia kupambania na boda yangu π€
Aiseeπ€ͺπMungu mkubwa, upo salama π π π
Oshey mr π°π€£ π€ΊWalinzi muda huu ndio tumelala. Palina Uchira 1 na Midnight walker huwezi waona mpaka mchana au jioni usingizi ukipungua π π
Umeshtuka kwenda msalani? π π πOshey mr π°π€£ π€Ί
Wala hata mkuuu napitia baaadhi ya vitu humu vinatisha mkuuuuu π©π©Umeshtuka kwenda msalani? π π π
Nikajua Bado umelala. Maana Uchira 1 na Mzee wa kupambania wamelala time hii π πWala hata mkuuu napitia baaadhi ya vitu humu vinatisha mkuuuuu π©π©
Mida ya kazi inakaribia sasa πNikajua Bado umelala. Maana Uchira 1 na Mzee wa kupambania wamelala time hii π π
Watu wazito nyinyiDah mweli pombe mbaya, yani inakufanya utuone sisi sisimizi Kama mbwaa
Mwanangu ndio unaamka? π π πMida ya kazi inakaribia sasa π
Ndo naamka hapa kwa mishe zangu ndo kumekucha sasa naenda kula rada π€£π€£π€£Mwanangu ndio unaamka? π π π
Mshtue Midnight walker ,nae ndio time zake hizi π πNdo naamka hapa kwa mishe zangu ndo kumekucha sasa naenda kula rada π€£π€£π€£
Ngoja tutengeneze combination watajuta huko πMshtue Midnight walker ,nae ndio time zake hizi π π
Oshey mr π°Mshtue Midnight walker ,nae ndio time zake hizi π π
Tatizo Midnight walker muoga sana. Hawezi deal za usiku π π πNgoja tutengeneze combination watajuta huko π
Ngoja leo nianze kumpa training πTatizo Midnight walker muoga sana. Hawezi deal za usiku π π π
Hahaha upo na mr π° hapa mkuuu π©π©Tatizo Midnight walker muoga sana. Hawezi deal za usiku π π π
π π π Kumekucha sasa. Acha wao wakalale, sisi ndio tunaenda kupambanaHahaha upo na mr π° hapa mkuuu π©π©
In the Night we walk the talk