JamiiForums Usiku wa manane

Hiyo Hali hutokea kutokana na mwili kubadilissha mazingira iliyoyazoea
πŸ‘‰Kuna kitu kinaitwa stimulus au reflex action.

Badala ya kunywa pombe, unaeza kunywa supu ya nyanya au chai hii itasaidia
πŸ‘‰Kula mapema kama saa 2 na 30, Kisha tulia kidogo, kuuruhus mwili uachie.
πŸ‘‰Anza kufanya mazoezi jioni ili kuupa mwili motisha na kuuchosha pia.
πŸ‘‰Kunywa maji ya kutosha
πŸ‘‰Achana na mawazo ya kusema kuwa hauwezi kulala bila pombe mkuu, impossible is a state of mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…