01:14No retreat no surrender 01:13
me too π₯ΊNalazimika kulala ili nisimalize chaji, 'taanesiko' wameuchukua muda huu
Aisee boss Bantu Lady ulisahau ulinipa amri ya kuhakikisha mali na zigo lako liko salamaπ, so mi nipo nyuma yakooIntelligent businessman nakufukuza kazi, Boss nimetangulia wewe uko wapi? Dahan Mwachiluwi Ankol National Anthem miss you Akol
Mzee wa kupambania ππππ
Nyuma tena??Aisee boss Bantu Lady ulisahau ulinipa amri ya kuhakikisha mali na zigo lako liko salama[emoji12], so mi nipo nyuma yakoo
Hapo kwenye zigo ufafanuzi mkuu samahani lakiniAisee boss Bantu Lady ulisahau ulinipa amri ya kuhakikisha mali na zigo lako liko salamaπ, so mi nipo nyuma yakoo
Dogder πΆNo retreat no surrender 01:13
My boss Bantu Lady anajua ni zigoo lipi. Maana ana kifundoo hichooHapo kwenye zigo ufafanuzi mkuu samahani lakini
Ndo maelekezo Bantu Lady aliyonipa,eti nikae nyuma ili nilinde zigoooNyuma tena??
01:30
Kama ikimpendeza na Mimi anipe hayo majukumuMy boss Bantu Lady anajua ni zigoo lipi. Maana ana kifundoo hichoo
Achana nazo, kumbuka unaelekea sehemu sahihi so vumilia kuacha pombeeNirudi kwenye TBL sasa toka nimesitisha huduma Yao na usingizi umenisitishia huduma ya kulala kwa wakati sahihiπππ
Utakuwa umerogwa na makerubii weweKama ikimpendeza na Mimi anipe hayo majukumu
Asante , baada ya likizo bila malipo nimegundua lindo linanifaa sanaππππtchaot karibu kwenye familia ya JF usiku wa manane ππππ
Nipo MkuuDogder [emoji55]
Ufanisi na utendaji wa kazi unapungua Kwa sababu ya kukosa usingizi usiku , wakati wa kazi usingizi kama wote. Pia sio mlevi ni mnywaji wa konyagi Moja kubwa na kwenda kulala mkuuAchana nazo, kumbuka unaelekea sehemu sahihi so vumilia kuacha pombee