Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
ππππππ mi ndo maana sitakagi nyumba za baba/mama wenye nyumba wenye njaa..maana huwa wanahesabu tarehe hatari yani hawavushi πππβ¦ingetakiwa apigwe mtama kidogoπ π π π Acha mkuu, madeni ni noma. Kuna kipindi fulani baba mwenye nyumba wangu alipigiwa kelele ya mwizi, maana alikutwa anachungulia dirishani kwangu, raia wakahisi anataka kuchana nyavu. Kumbe Mzee alikuwa anasikilizia kama nipo au la? Maana ananidai alaf nilikuwa nampiga chenga sana π π π
0:4600:45
Na yeye ni binadamu ,he deserve all the pleasure ππUna date na mlinzi?
Maneno kama haya yananipa mfadhahiko wa moyo na Figo.Nijitahidi na Mimi niwe mkubwaNabebishwa hapa meanwhile nspitapita na humu kucheck check π
Mzee kila nikimwambia hela sina, avumilie. Yeye anakazania kuniambia jinsi alivyopata tabu kuijenga nyumba yake π π πππππππ mi ndo maana sitakagi nyumba za baba/mama wenye nyumba wenye njaa..maana huwa wanahesabu tarehe hatari yani hawavushi πππβ¦ingetakiwa apigwe mtama kidogo
Pleasure saa saba kasoro usiku?. Atakuwa lindo huyo π πNa yeye ni binadamu ,he deserve all the pleasure ππ
ππMzee kila nikimwambia hela sina, avumilie. Yeye anakazania kuniambia jinsi alivyopata tabu kuijenga nyumba yake π π π
Aah sijakataa lakiniPleasure saa saba kasoro usiku?. Atakuwa lindo huyo π π
Mwambie ajiunge JF π π πAah sijakataa lakini
Wewe niachie tu najua nafanya niniππ
ππ mda anatoa wapiMwambie ajiunge JF π π π
Hahahaha noma sana. Ila nahisi time hii ntakuwa break, mnataka kuitafuta ya tatu π πππ mda anatoa wapi
Mlinzi wangu asubui yote analala usiku ndo kama hivi, sitaki achoke sanaπ
Haya nikaushie basi ππHahahaha noma sana. Ila nahisi time hii ntakuwa break, mnataka kuitafuta ya tatu π π
Naomba nije kupiga chabo π π πHaya nikaushie basi ππ
KaribuNaomba nije kupiga chabo π π π
Share location chapKaribu