π π Naona umejitoa kwenye kundi la bundi na popoπ
Hongera na pole na kufua.Amen.....hatimaye nimemaliza.Vp umeamkaje?
BarikiwaHongera na pole na kufua.
Salama sijui wewe?
π vizuri basi na iwe jpili njema kwako na familiaBarikiwa
Niko poa π€
Aminaπ vizuri basi na iwe jpili njema kwako na familia
π€£π€£π€£Nipo mkuuπ π Naona umejitoa kwenye kundi la bundi na popo
π π π Tunalala mchana, na kukesha usikuπ€£π€£π€£Nipo mkuu
Ndo ivo....mi Usiku ni mvua imeniamshaπ π π Tunalala mchana, na kukesha usiku
Mvua? Wapi huko ambako mvua zinanyesha??Ndo ivo....mi Usiku ni mvua imeniamsha
MbeyaMvua? Wapi huko ambako mvua zinanyesha??
Mbona nimeshakuibia kitambo National AnthemNimeisha kwapua S23 Ultra
Masaa 4 tuu yani hiki kichwa sijui kina niniππUwa unalala kweli? π
Mbona mi sijalala mpendwaaMasaa 4 tuu yani hiki kichwa sijui kina niniππ
Sio kweli...Bhnππ π π Tunalala mchana, na kukesha usiku
Nimesema mie in 24 hours 20 hours huwa niko awake.. πππMbona mi sijalala mpendwaa
Ndio ukweli huo. Giza likiingia tu, mnakuwaga active kama popo π π πSio kweli...Bhnπ
Mbona hayo masaa4 ni mengi mnoo kwa kulala??Nimesema mie in 24 hours 20 hours huwa niko awake.. πππ
Hata saev tupo.. Giza likiingia tunakua lindon mkuuπππNdio ukweli huo. Giza likiingia tu, mnakuwaga active kama popo π π π
Eh yanatoshaa... πMbona hayo masaa4 ni mengi mnoo kwa kulala??
Mi nilalaga 1-2 hours onlyEh yanatoshaa... π