Pamoja na kuwa hawanaga muda hawa elon musk ana work 17 hrs daily hivyo ana squeeze 7 hrs kwenye (kula,kulala,kuoga,kupiga mswaki, e.t.c) hivyo unakuta no time and energy for pussies [emoji846]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Inauma kimtindoni kweLi kbsa sema kwann mwanamke ale mali ya mtu ambaye yy hampeNdiii...?
Its obvious mkuuu hata aliyetengeneza Twitter alikuwa na same routine sema saivi ana financial freedom sema it was tough back thenUmenikumbusha theories za management hili ya classic theory kuna theorists anasema kampuni ni kama mashine na wafanyakazi ni sehemu ya mashine ni kazi kazi hakuna kulaza uzalishashi, na moja ya criticism ni ipo very exploitative....kuna watu wanapiga mzigo sisi ukiona jumamos na jumapili unapumzika unafurahi na apo umeajiriwa serikalini huna mitazamo ya kuja kuwa billionaire
We ungefanyaje [emoji19][emoji19][emoji19].
God forbid [emoji120]
Dogo ulipigwa na kitu nn 🤯ni kweLi kbsa sema kwann mwanamke ale mali ya mtu ambaye yy hampeNdiii...?
Its true cha muhimu ni kuandaa mazingira mazuri ya mtoto kutoboa lyf kama anavyofanya wixkid tuKumuacha me mwanamke ni sawa kabisa na hata bibilia inaruhusuhata kanisa katoliki hawaruhusu uzinzi hadi kuvunjika kwa ndoa , ila mimi concerns yangu ni kwa mtoto maana tayari mahusiano yako na yule mtoto zuri alishakuzoe kukuita baba na wewe unamuita mwanangu dah pigo
Its obvious mkuuu hata aliyetengeneza Twitter alikuwa na same routine sema saivi ana financial freedom sema it was tough back then
Ni kaxi kaxi tu
Lazima wakugongeee ndo maana nasema asilimia 73% ya wanawake walio kwenye ndoa ni cheap sanaaaaah kuliko maji ya dukani sababu waume zao wengi wapo busy na hawapo emotionally attached na wenxa wao hivyo sababu ni viumbe dhaifu wanarubuniwa kirahisi sanaSasa mtu kama huyo huna muda na mkeo si watakugongea tu ndiyo maan matajri wanaona kutokua na muda na familia ni risk kuingia ndoani [emoji1787][emoji1787]
Ila ukiona mwanamke anakula mali zako na hajakupenda uliruhusu maana unajua kabisa demu hakupendi unamlazimisha si unajua zile pigo za mwanaume kupenda sehemu hujapendwa unaombwa hela anaenda kulana na aliempenda na huenda jamaa hana hata miani kweLi kbsa sema kwann mwanamke ale mali ya mtu ambaye yy hampeNdiii...?
Leo umetokeaa😂😂😂Nipo hapa 02:12
Tatizo watu wanapuuzia redflagsIla ukiona mwanamke anakula mali zako na hajakupenda uliruhusu maana unajua kabisa demu hakupendi unamlazimisha si unajua zile pigo za mwanaume kupenda sehemu hujapendwa unaombwa hela anaenda kulana na aliempenda na huenda jamaa hana hata mia
Aaaaaah mkuuu umehit g point kabisa na nashangaaga sana watu wanaosema mwanamke ili akupende ni lzm uwe na pesa hizi ni ndoto za abunuasi sana daahIla ukiona mwanamke anakula mali zako na hajakupenda uliruhusu maana unajua kabisa demu hakupendi unamlazimisha si unajua zile pigo za mwanaume kupenda sehemu hujapendwa unaombwa hela anaenda kulana na aliempenda na huenda jamaa hana hata mia
Dah kweli sema ila tutafanyaje sasa ndo maana wengne wanauliwa kwa tamaa za kijinga mtu humpendi usile mali zake aiseeIla ukiona mwanamke anakula mali zako na hajakupenda uliruhusu maana unajua kabisa demu hakupendi unamlazimisha si unajua zile pigo za mwanaume kupenda sehemu hujapendwa unaombwa hela anaenda kulana na aliempenda na huenda jamaa hana hata mia
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Aaaaaah mkuuu umehit g point kabisa na nashangaaga sana watu wanaosema mwanamke ili akupende ni lzm uwe na pesa hizi ni ndoto za abunuasi sana daah
Kwa visa nilivyonavyo huu ni uongo sema watu wanakaxaga sana mafuvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa ni muhimu mkuu lakini sio reason ya kupendwaAaaaaah mkuuu umehit g point kabisa na nashangaaga sana watu wanaosema mwanamke ili akupende ni lzm uwe na pesa hizi ni ndoto za abunuasi sana daah
Kwa visa nilivyonavyo huu ni uongo sema watu wanakaxaga sana mafuvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka nimehudumia mimba miezi tisa 😁😁kumbe mimba yngu ilivofika miezi 5 kaitoa afu kabeba mimba ya mtu mwngnE 😭😭😭inaniuma saNaDogo ulipigwa na kitu nn 🤯
Daaah mnaona waku nawaambia hii karne ya 21 inabidi tuishi kwa kutumia akili ya ziada mwenzenu kapigwa na kitu kizitoKaka nimehudumia mimba miezi tisa 😁😁kumbe mimba yngu ilivofika miezi 5 kaitoa afu kabeba mimba ya mtu mwngnE 😭😭😭inaniuma saNa
Duh noma sanaKaka nimehudumia mimba miezi tisa [emoji16][emoji16]kumbe mimba yngu ilivofika miezi 5 kaitoa afu kabeba mimba ya mtu mwngnE [emoji24][emoji24][emoji24]inaniuma saNa
ExactlyPesa ni muhimu mkuu lakini sio reason ya kupendwa