Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,857
- 58,656
Nakubaliana na weww mkuu ni kweliMkuuu, haya magonjwa ni ya kurithi chief. Unajua mtu anaeza zuia mafua ila sio ugonjwa wa uti wa mgongo??
Au kuathirika kwa ubongo??
Aisee, nime imagine hiyo sautii😂😂 Bantu LadyMr kenice where are you babaa?
Hebu ngoja ni play kidogooo hapaMahaba by Ally Kiba...
Ya kimahaba kabisa 😅😅😅😅😅Aisee, nime imagine hiyo sautii😂😂 Bantu Lady
Achana na hizoooo sie watu wa vitu vyetu hatuweza kukulisha alafu uje ushinde kwa pointYule msouth africa aliyepigana na Tony Rashidi- wamemuonea
Irudie tena....Ya kimahaba kabisa 😅😅😅😅😅
Achana na hizoooo sie watu wa vitu vyetu hatuweza kukulisha alafu uje ushinde kwa point
Siku hizi hakuna mahaba ..Mahaba by Ally Kiba...
Mwenzako mi nilikufa, nikazikwa, nikaozaMahaba by Ally Kiba...
Yapo ukiyababatiza bana. Nzuri za kwako Mr.Siku hizi hakuna mahaba ..
Habari yako My lady..
😋😋 Umefanya nikumbatie mto ....Poor Brain where are you sweetie...
Ndo ujue hivyo. Yan anatakiwa ashinde lwa tko au mwanzo mwesho aongoze round zote kwa ushindiDaaah
Niko powa My lady ..Yapo ukiyababatiza bana. Nzuri za kwako Mr.
Vifundo ndiyo???????Mwenzako mi nilikufa, nikazikwa, nikaoza
Mapenzi yalinitesa, Sasa nimefufuka
Natamani kuwa single ila na ubuyu unanikaba roho
Mabinti wenye vifundo hao ndo wananitoa rohi
Asili ya Jambo lile Ni Kama chakula, lazima nile
Mi mbovu wa Jambo lile na Nina ufundi wa kutosha Bantu Lady na Dahan