Jipya kiaje mkuu?.. Nipo lindo everydayπ’Dahan jina jipya hili...habari
Naona ndo umeingia lindo nowJipya kiaje mkuu?.. Nipo lindo everydayπ’
Poor Brain πNaona ndo umeingia lindo now
Mimi hapa... Naona umedislike..ππ
Salama mkuu.. Karibu tupo sieππDahan jina jipya hili...habari
Usiongee kirahisi hivyo mkuuuKwenye niwape mimba tu na kuishi nao sio,imekaa vizuri pia,
Ila ndoa sikatai,kuchapiwa Siri ya ndani,wakinimegea na mimi naitafuta mnyonge nammgea
Yeah sipendi kuoga mkuuuHupendi kuoga lakini
Morning glory β¨ uliipiga πππNapokea lindo sasa.....
Anayo evening glory huyu poor kabisa... ππMorning glory β¨ uliipiga πππ
Hapana ila leo ntaipiga ahahaahhaha...Morning glory β¨ uliipiga πππ
Dahan unanianza.... Jiandae kukesha leoAnayo evening glory huyu poor kabisa... ππ
Hahaha fuvu gumu sana hiliAnayo evening glory huyu poor kabisa... ππ
Ety SipeNDI kuoGA msikie huyuππππDahan unanianza.... Jiandae kukesha leo
Hajui kukesha ndo tabia yetu ipo damuni hatuteseki wala nnEty SipeNDI kuoGA msikie huyuππππ
Unakesha tena na leo.....Ety SipeNDI kuoGA msikie huyuππππ
Wasiwasi ndo akiliUnakesha tena na leo.....
Na huyo asiependa kuoga huyo nna wasi wasi nae...?
Kwanza hulali... Pia huogi..Wasiwasi ndo akili
Mkuu kama unawasiwasi basi usiwe na poor brain πππ
Vipi kwani kutokuoga ni dhambi au π
Hehe watu wana overate sana kuoga newton alikuwa anaoga mara 2 au 1. Kwa wiki na pia alikuwa mkeshaji sanaKwanza hulali... Pia huogi..
Hiyo collaboration yake hapo so poa
Litakufa jituππππ
Wewe SipeNDI kuoGA team kataa ndoaπππ acha kumshauri @zwenge ndaba ivoooπ’Usiongee kirahisi hivyo mkuuu
Kuna mtu alichapiwa akawa chizi unajua hilo mwingine alijinyonga mwingine alimfira huyo mwanaume na akawauwa. Wote mke na yeye na huyo mwanaume
Kuna mmoja alichapiwa akakaa wiki akafa na pressure
Bro acha kabisa
Ila huu ni ushauri tu maamuxi ni yako tu