πππππNimechekaa hadi nimepaliwaaaa aseeπππUpendi kuoga unazani utapata usingizi hapo.... π€π€π€π€π€
Anasema hapati usingizi... Unazani kwanini π€π€π€π€πππππNimechekaa hadi nimepaliwaaaa aseeπππ
Mie nipo lindonππππhadi morning gloryAnasema hapati usingizi... Unazani kwanini π€π€π€π€
Bado wewe hapo mpaka sasa hivi... Duuh
Hilo lindo nina wasi wasi nalo...π³π³Mie nipo lindonππππhadi morning glory
Kaza wewe alaaahπ€π€π€Inte leo mapema sanaa umesign out mtuwangπππ
Mi niko byee hapa.. Utakimbia ww..Kaza wewe alaaahπ€π€π€
Unajiweza wewe..πππ ...??Mi niko byee hapa.. Utakimbia ww..
πππ
Daah nimeamua nioge leo kwa mbinde sababu nilikuwa nanuka kinoma ndo mara yangu ya kwanza kuoga hii wikiUpendi kuoga unazani utapata usingizi hapo.... π€π€π€π€π€
Ungekaa njombe wewe..... π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€Daah nimeamua nioge leo kwa mbinde sababu nilikuwa nanuka kinoma ndo mara yangu ya kwanza kuoga hii wiki
Alafu nipo dar ila sipendi asee daah π€£π€£π€£
UE nshamaliza long sana nipo semester ya 2 sasa πUkaoge kijana.... Ujiandae na EU badae
Na hilo joto la mabibo lakini bado huogi.. ππππDaah nimeamua nioge leo kwa mbinde sababu nilikuwa nanuka kinoma ndo mara yangu ya kwanza kuoga hii wiki
Alafu nipo dar ila sipendi asee daah π€£π€£π€£
Hapa show show.. Hadii morning gloreee... Nomaraa waaa.... πππUnajiweza wewe..πππ ...??
Aaaaaah kumbe.....UE nshamaliza long sana nipo semester ya 2 sasa π
Nina allergy na maji π€£π€£π€£Na hilo joto la mabibo lakini bado huogi.. ππππ