Binafsi huwa naelewa sana nikikuta binti kapiga solex.Yeah nakumbuka uliniuliza, kwenye ule uzi. Tukawa wote tunatokea sehwmu moja. Yes nafunga sababu ya baadhi ya watu, si wastaarabu wao ni hayo tu hawana jipya la maana. Pole si unaona hadi ndugu tumewafungia vioo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Dahan Nipo hapa kibaka wa kimataifa, nipe hio namba nikachezee tatu mzukaWa online c ndo hao wapo mtaaniπππukikutana nae mtaani ukachukua namba yake utamkuta online...
ukimkuta online ukachukua namba yake utamkuta mtaaniπ π π π
Sasa mtu unatongoza li mtu la sumbawanga au rukwa au njombe kwenye barafu we upo dar hostel za mabibo wakati mtaani wamejaa kila sehemu huo si ushumbangaWa online c ndo hao wapo mtaaniπππukikutana nae mtaani ukachukua namba yake utamkuta online...
ukimkuta online ukachukua namba yake utamkuta mtaaniπ π π π
Jibu la kibobezi kabisa hili[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wa online c ndo hao wapo mtaani[emoji23][emoji23][emoji23]ukikutana nae mtaani ukachukua namba yake utamkuta online...
ukimkuta online ukachukua namba yake utamkuta mtaani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
ππππKazi sanaaa.... Hasa usipokua na focus humuWahuni tu, hakuna cha mchumba wala nini. Kwanza kuna wanaume wameweka Avatar za kike, wengi tu. Kuanza kujua huyu ni ke or ni me nacho kibarua kipya.
Utukaribishe kwenye sherehe tule ubwabwa na tuchukue juice za ceres za buku 5 zile ππππIla pia kuna watu wastaarabu kabisa, unapata mchumba anakuja kuwa mke ama mume humu. Ngoja wangu kwanza tuone tutafika wapi, nitakuja kuwapa ushuhuda.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji41]Ila pia kuna watu wastaarabu kabisa, unapata mchumba anakuja kuwa mke ama mume humu. Ngoja wangu kwanza tuone tutafika wapi, nitakuja kuwapa ushuhuda.
Puliziiioo o Bantu Lady nifuge niwe kama samakiiIla pia kuna watu wastaarabu kabisa, unapata mchumba anakuja kuwa mke ama mume humu. Ngoja wangu kwanza tuone tutafika wapi, nitakuja kuwapa ushuhuda.
Amina, na ikawe hivyo πππ.Utukaribishe kwenye sherehe tule ubwabwa na tuchukue juice za ceres za buku 5 zile ππππ
Maadam iwe dar sio eeh isije ikawa mwanza tena su songeaAmina, na ikawe hivyo πππ.
Ndugu yangu emoji za mwanzoni πππ[emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji41]
Ah we sema tuuπππHujapangiwa mkuu ila ........
Tuishie hapo
Hapahapa Dar best, tuombe uzima.Maadam iwe dar sio eeh isije ikawa mwanza tena su songea
Nasubiri ushuhuda tu hapa[emoji16][emoji16][emoji16]Ndugu yangu emoji za mwanzoni [emoji2][emoji2][emoji2]
Sawasawa. All de bestHapahapa Dar best, tuombe uzima.
Ndugu yake Bantu Lady mbona kama hujafurahishwa na hii taarifaaππππ[emoji849][emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji41]
Siku hiyo ukiolewa, nitaonyesha kipaji changu Cha kula 0 Bantu Lady DahanAmina, na ikawe hivyo πππ.