Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Kulikoni best π π π π π[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Hivi kuna watu wanatafuta wachumba online bado π€π€π€π€Sasa bora yeye anazifanyia hivyo, kuwafata wabaya wake. Wengine hizo ID anakutongoza na hii, anakuja na nyingine yaani hata km anazo 5 anakutongozea zote. Bora nilifungaga pm kabisa...
Asta la Vista mr pool table πͺπͺ02:40 Goodbyes najagaπͺπͺ
Bye02:40 Goodbyes najagaπͺπͺ
πππππSa itakuajeee? Kumbe unanidanganya tuu hapaMadam Bantu Lady shida sio pesa Wala kazi, shida ni kufocus tu zat all. Nikikuambia iam not allowed to have a girlfriend unaeza usiamini
Umemkabidhi nani lindo mrπ π π02:40 Goodbyes najagaπͺπͺ
May be 1 day or in next life nikizaliwa tenaπππππSa itakuajeee? Kumbe unanidanganya tuu hapa
Najionea tu maajabu. Poleni sana kumbe mna makubwa hivi yanawasibu.Kulikoni best [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani ujinga mtupu, sasa nilikuwa nafuta pm za miaka hiyoo 8 iliyopita. Kuna mmoja alikuja nikamtolea nje. Mwaka huu kaja na ID nyingine sikujua ila nikamtolea nje. Majuzi naambiwa zote zake πππππ anaona aibu balaa hata alike tena aibu yake.ππππAlafu anataka ukubali zoteπ π π alafu mwisho wa siku anakuchora
alaf anakuona bitch huna focus.. ππππUnyama ni mwingiiii.... Wanaume bhanaπ
Wahuni tu, hakuna cha mchumba wala nini. Kwanza kuna wanaume wameweka Avatar za kike, wengi tu. Kuanza kujua huyu ni ke or ni me nacho kibarua kipya.Hivi kuna watu wanatafuta wachumba online bado π€π€π€π€
Duuh hii noma asee
Uliikataa dhahabu madam o Bantu Lady,it wozi mi ua bodyguardYaani ujinga mtupu, sasa nilikuwa nafuta pm za miaka hiyoo 8 iliyopita. Kuna mmoja alikuja nikamtolea nje. Mwaka huu kaja na ID nyingine sikujua ila nikamtolea nje. Majuzi naambiwa zote zake πππππ anaona aibu balaa hata alike tena aibu yake.
Halafu ww ni ndugu yangu kabisa. Kna siku nilikiuloza ka swali kwenye uzi wa umughaka ukajibu ila sikuendelea. Nikaja pm nikwambie nikakuta sole. Sikutaka kukwambia maana ungehisi ni mipango ya [emoji533][emoji533]. Leo ndio nimejua sababu ya solex[emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Madam Bantu Lady usitupondee si wengine vibaka tuuWahuni tu, hakuna cha mchumba wala nini. Kwanza kuna wanaume wameweka Avatar za kike, wengi tu. Kuamza kujua huyu ni ke or ni me nacho kibarua kipya.
Daah tamaa tu zinatusumbuagaWahuni tu, hakuna cha mchumba wala nini. Kwanza kuna wanaume wameweka Avatar za kike, wengi tu. Kuamza kujua huyu ni ke or ni me nacho kibarua kipya.
Avatar yangu pia nipangiwe cha kufanya? Hell noπππππHahaha namimi nilikuwa nakuzoom tu sana na hiyo avatar yako unavyobadilisha kila muda mda mwingine unakesha kama jana nakuangalia tu
Hahaha dahany bana π¦ π¦
Hujapangiwa mkuu ila ........Avatar yangu pia nipangiwe cha kufanya? Hell noπππππ
Umbea tuuuuπ π π
Yeah nakumbuka uliniuliza, kwenye ule uzi. Tukawa wote tunatokea sehwmu moja. Yes nafunga sababu ya baadhi ya watu, si wastaarabu wao ni hayo tu hawana jipya la maana. Pole si unaona hadi ndugu tumewafungia vioo π π π πHalafu ww ni ndugu yangu kabisa. Kna siku nilikiuloza ka swali kwenye uzi wa umughaka ukajibu ila sikuendelea. Nikaja pm nikwambie nikakuta sole. Sikutaka kukwambia maana ungehisi ni mipango ya [emoji533][emoji533]. Leo ndio nimejua sababu ya solex[emoji23][emoji23]
Incasee ukizaliwa tena, pulizzi nipigie simu o Bantu LadyYeah nakumbuka uliniuliza, kwenye ule uzi. Tukawa wote tunatokea sehwmu moja. Yes nafunga sababu ya baadhi ya watu, si wastaarabu wao ni hayo tu hawana jipya la maana. Pole si unaona hadi ndugu tumewafungia vioo π π π π
Wa online c ndo hao wapo mtaaniπππukikutana nae mtaani ukachukua namba yake utamkuta online...Hivi kuna watu wanatafuta wachumba online bado π€π€π€π€
Duuh hii noma asee