JamiiForums Usiku wa manane

Kuna pastor p kuna KIDUME20 na tombile zote ni account moja ila kaxi yangu ni kubadili majina tu

Mtu akinizingua namfuata inbox mamshushia matusi naepa nabadilisha jina na lock profile easy game 😡😡
Nikawa najiuliza kidume yu wapiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila nikiona comment za pastor p nasahau kutag kumbe ni walewaleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚waquba bhana
 
Nikawa najiuliza kidume yu wapiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila nikiona comment za pastor p nasahau kutag kumbe ni walewaleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚waquba bhana
Sasa bora yeye anazifanyia hivyo, kuwafata wabaya wake. Wengine hizo ID anakutongoza na hii, anakuja na nyingine yaani hata km anazo 5 anakutongozea zote. Bora nilifungaga pm kabisa...
 
Madam bora ninavyo ingia humu kucheka, but GOD knows what happening to me
Iko siku yako, amini na muamini Mungu. Sali kwa Imani yako na uwe na Imani. Mwenyezi Mungu, siyo kiziwi wala kipofu. Yote anayaona na kuyasikia, ipo siku isiyo na jina yote yatabadilika. Usikate tamaa, shida zikizidi faraja i njiani.
 
Nikawa najiuliza kidume yu wapiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila nikiona comment za pastor p nasahau kutag kumbe ni walewaleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚waquba bhana
Hahaha namimi nilikuwa nakuzoom tu sana na hiyo avatar yako unavyobadilisha kila muda mda mwingine unakesha kama jana nakuangalia tu

Hahaha dahany bana 🦠🦠
 
Iko siku yako, amini na muamini Mungu. Sali kwa Imani yako na uwe na Imani. Mwenyezi Mungu, siyo kiziwi wala kipofu. Yote anayaona na kuyasikia, ipo siku isiyo na jina yote yatabadilika. Usikate tamaa, shida zikizidi faraja i njiani.
Madam Bantu Lady shida sio pesa Wala kazi, shida ni kufocus tu zat all. Nikikuambia iam not allowed to have a girlfriend unaeza usiamini
 
Katika account zako zote...KIDUME 20 ndo rafiki yangu
Enzi hizo nilikuwa yanki sana kuanzia january 14 nika transition kutokana na upepo wa baadhi ya wapumbavu wachache humu ndani

Ila no worries I'm a good guy mbona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
Sometimes nikibadilika nakuwa kama simba 😠😠😠😠 🦁
 
Sasa bora yeye anazifanyia hivyo, kuwafata wabaya wake. Wengine hizo ID anakutongoza na hii, anakuja na nyingine yaani hata km anazo 5 anakutongozea zote. Bora nilifungaga pm kabisa...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Alafu anataka ukubali zoteπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…alafu mwisho wa siku anakuchora
alaf anakuona bitch huna focus.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unyama ni mwingiiii.... Wanaume bhanaπŸ‘Š
 
Yeah🀣🀣🀣🀣 kama simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…