Usiku mwema mkuu [emoji106][emoji12]Kila la kheri, we uwashe motoo .
Hamna kitu hapaaπππNgoja tuone, huenda nikasamehewa
Asta la Vista pastorUsiku mwema mkuu [emoji106][emoji12]
Haahah tenzi za moyoni πππAtakua anaandaa tenzi, tumgojee.
Puliziii ma bebi Dahan , givu mi anaza chenzaHamna kitu hapaaπππ
Pamoja sana kamanda.. βVizuri sana [emoji1787][emoji1787] uwe na usiku mwema kamanda
Sasa amua, utanisameheee au ndo niishie Kama moshiiiππWahuni watu wabaya sana... πππWanang'ata afu wanapulizaaππππ
Shida we mwanamke una mdomo mkubwa kama choo Cha shimo, hizo story ziishie kuleeLeo JF ilichafuka watu wanakaa na vitu rohoni, hata hamsemi mpaka leo mmevimwaga mfululizo... JF sihamiiii
Kaa kwa kutulia mwanaume wewe. Utapata Ban kama wenzako... tuliaShoda we mwanamke una mdomo mkubwa kama choo Cha shimo, hizo story ziishie kulee
Vijembe na matusi ya nini?Shoda we mwanamke una mdomo mkubwa kama choo Cha shimo, hizo story ziishie kulee
Nin kimetokea jamanππππLeo JF ilichafuka watu wanakaa na vitu rohoni, hata hamsemi mpaka leo mmevimwaga mfululizo... JF sihamiiii
Hiii o bebi Bantu Lady we ukiambia chochote ntafanya, afu ban mi hazinitishi coz Sina kosaKaa kwa kutulia mwanaume wewe. Utapata Ban kama wenzako... tulia
Atumegee ka umbea etyπ€£π€£Nin kimetokea jamanππππ
Mkuu si tupo kwenye jokes amaππIntelligent businessman nikianza hapa utaanza kujiliza nakujua. Ama uanze mipasho yako ya bei rahisi... nilipita kulimwaga hilo nalala zangu πππππ
Shangaaπππhatakii maovu yake yagundulike na hukuπππVijembe na matusi ya nini?