Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,528
Anamwaga tu hzo Pronounce,adverd na tag questions.Kumbe Intelligent businessman ukichukia unaongea english ase samahani mkuu πππ
Please usiondoke, tunaacha huo utani.I think it's better to leave me alone, and if you keep it on. Then I will forever be gone.
πππ kwa leo inatosha nikikumbuka mwazo alivyo kuwa atamba hapa uwanjani na sasaivi ase ni tifauti kawa kmpole sana kuliko kawaidaKuna kitu unamiss. Ukijaribiwa tu hutaacha... Mwachi tumfate hukohuko πππππ
Unakumbika meazoni alisem muone sula imekushuka kama nynya ya niongeza πππAnamwaga tu hzo Pronounce,adverd na tag questions.
π€£π€£ Hua Sina Imani na watu wakujiita gentle manWanajifanya hawayatakii π
wakati wakiwa ndani wanamwaga hadi ubongoππππ
Yah matikiki yanasafisha figo na yanaongeza maji mwilini πππHaya tuongelee kilimo cha matikiti ama matango or aple?
Sijui hzo jokes huzitoa wapi,π€£Unakumbika meazoni alisem muone sula imekushuka kama nynya ya niongeza πππ
Tuongelee kilimo cha vanilla πHaya tuongelee kilimo cha matikiti ama matango or aple?
Lakini nasikitika kumpoteza leo rafiki yangu ndugu yangu boss wangu kwa utani wanguSijui hzo jokes huzitoa wapi,π€£
Matango pia huwa tunaweka kwenye macho. Ni mazuri sana.Yah matikiki yanasafisha figo na yanaongeza maji mwilini πππ
Mbegu zake zinaongeza nguvu piaπππYah matikiki yanasafisha figo na yanaongeza maji mwilini πππ
Geita tunalima Nanasi zenye uroda mwingii wakuu .Tuongelee kilimo cha vanilla π
Mimi tango napenda kutumia kwenye kachumbari pindi pale napokula pilaauMatango pia huwa tunaweka kwenye macho. Ni mazuri sana.
mimi hupenda kuyala naweka chumvi, lemon na pilipili ππππ
Kilimo hiki kina mpunga, sema kinahitaji moyo sana.Tuongelee kilimo cha vanilla π