Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,404
- 102,528
Hongera kwa ujasiri wako, mimi jobless Sina la kusemaNajua kama ni yeye mabaharia tunaanzia mbali, next text reply ingekua "basi duniani wawili mdada huyo aliniumiza sana,sina tena hamu ya mapenzi, ila nikimpata alie tulia nitampa moyo wangu "hahah
Ana umri gani?,Muexpose kwanza.. Kwa dakika chache kama amevaa nguo nyingiNawaza kwenda hospital usiku huu huu Sina jinsi.. nimpe Panadol kwanza
Pole sana ndugu yangu sina utaalamu wowote natamani ningeweza kukupa ushauri, but be strong usiugue nawewe kwa HOFU..Mungu amlinde little one, baby girl or boyNawaza kwenda hospital usiku huu huu Sina jinsi.. nimpe Panadol kwanza
Msponji kwanza, na kumpa Panadol. Endeleeni kumwangalia kwa ukaribu sana. Ili joto likipanda mnarudia kumsponji. Ili ikifika alfajiri muwahi hospitali, poleni Mkuu atakuwa sawa tu. Namuombea pia.Nawaza kwenda hospital usiku huu huu Sina jinsi.. nimpe Panadol kwanza
7 yrs anaswetAna umri gani?,Muexpose kwanza.. Kwa dakika chache kama amevaa nguo nyingi
Intelijenti business man hana kazi haha kazi ya nini bossHongera kwa ujasiri wako, mimi jobless Sina la kusema
Sina kazi, Sina pesa,sura nzuri Sina, ntasema nini Tena??Intelijenti business man hana kazi haha kazi ya nini boss
Ooh pole, anahisi joto au baridi? Kama ni joto kamuogeshe kwanza.7 yrs anaswet
Wewe mzazi, nesi,dokta au huna usingiziMsponji kwanza, na kumpa Panadol. Endeleeni kumwangalia kwa ukaribu sana. Ili joto likipanda mnarudia kumsponji. Ili ikifika alfajiri muwahi hospitali, poleni Mkuu atakuwa sawa tu. Namuombea pia.
Anahisi baridOoh pole, anahisi joto au baridi? Kama ni joto kamuogeshe kwanza.
Hata mdudu huna??I mean kojoleoSina kazi, Sina pesa,sura nzuri Sina, ntasema nini Tena??
Je umefanya nilivyokushauri? Pia mpunguze nguo, abaki na pajama bila sweta.7 yrs anaswet
Yes, nimepinguzaJe umefanya nilivyokushauri? Pia mpunguze nguo, abaki na pajama bila sweta.
Kama Sina pesa, natoa wapi nguvu ya kutongoza hovyo??Hata mdudu huna??I mean kojoleo
Miye mlinzi wa JF, nawalinda nyinyi.Wewe mzazi, nesi,dokta au huna usingizi
Kutongoza ni kuuza maneno, domo lako zege ??Kama Sina pesa, natoa wapi nguvu ya kutongoza hovyo??
Dhidi ya nini dada watchmanMiye mlinzi wa JF, nawalinda nyinyi.
Kwa njaa ambayo ninayo, mdomo wangu una kazi ya kula tuKutongoza ni kuuza maneno, domo lako zege ??