Sio kwamba ndio kanekuletea mneso wa usingizi buddy?πDah, kausingizi kangu kametoweka
Ndiyo,tunaenda saa ngapiHaha mimi niko Mbeya, unaenda kanisa gani my dear?
Ninapo abudu ibada inaanza saa nne. Hapa nalinda huku nasindikizwa na kitu cha Way Maker ya SinachπΌπ΅πΆNdiyo,tunaenda saa ngapi
Aagh wapiSio kwamba ndio kanekuletea mneso wa usingizi buddy?π
Basi imekula kwako mkuu. Wengine kanawapaga utelezi wa usingiziππAagh wapi
Wacha wee,haya bas muda ukifika ibada njema kwakoNinapo abudu ibada inaanza saa nne. Hapa nalinda huku nasindikizwa na kitu cha Way Maker ya SinachπΌπ΅πΆ
Mimi saa hizi nawaza kikwetu tuBasi imekula kwako mkuu. Wengine kanawapaga utelezi wa usingiziππ
Tangu lin umeanza kosa usingiz mkuu?04:31 π¦π¦π¦
Kila siku upo kwenye lindoTangu lin umeanza kosa usingiz mkuu?
We national π upo04:31 π¦π¦π¦
πππ huwa silali usiku kabisa, sema huwa napita pitia kusoma bila comment .. hapa nikitoka kanisani ndia nitalala sasaTangu lin umeanza kosa usingiz mkuu?
Nipo mkuu πππ kumekucha lakiniWe national π upo
Nimeattach nyimbo, haionekani kwako?Ipi baba?
Yaaah watu hatulali asee huu usingixi umenikacha π€π€Nipo mkuu πππ kumekucha lakini
Mume sina,pesa sina nipo na komwe tu....usingizi nautoa wapi mkuu?πKila siku upo kwenye lindo
kadi umri ukiwa unasonga package ya usingizi inapungua, itafika mahala ulali kabisaYaaah watu hatulali asee huu usingixi umenikacha π€π€